Nehemia 12:43
Nehemia 12:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hiyo, watu walitoa tambiko nyingi na kufurahi kwani Mungu aliwafanya wawe na furaha kubwa. Pia wanawake na watoto, wote walifurahi. Vigelegele vya furaha toka mjini Yerusalemu vilisikika mbali.
Shirikisha
Soma Nehemia 12Nehemia 12:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakatoa dhabihu nyingi siku ile, wakafurahi; kwa kuwa Mungu amewafurahisha furaha kuu; na wanawake pia na watoto wakafurahi; hata ikasikika mbali sana furaha hiyo ya Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Nehemia 12