Nehemia 13:14
Nehemia 13:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Unikumbukie hayo, Ee Mungu wangu, wala usifute fadhili zangu nilizozitenda kwa ajili ya nyumba ya Mungu wangu, na kwa taratibu zake.
Shirikisha
Soma Nehemia 13Nehemia 13:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee, Mungu wangu, nikumbuke kwa ajili ya haya yote na usiyasahau matendo yangu mema niliyofanya kwa ajili ya nyumba yako na kwa ajili ya huduma yako.
Shirikisha
Soma Nehemia 13