Hesabu 11:23
Hesabu 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamjibu Mose, “Je, uwezo wangu umepungua? Utaona basi kama neno langu litakuwa la kweli kwako au la.”
Shirikisha
Soma Hesabu 11Hesabu 11:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Je! Mkono wa BWANA umepungua urefu wake? Sasa utaona kama neno langu litatimizwa kwako, au la.
Shirikisha
Soma Hesabu 11