Hesabu 12:6
Hesabu 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: Kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.
Shirikisha
Soma Hesabu 12Hesabu 12:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.
Shirikisha
Soma Hesabu 12