Hesabu 12:8
Hesabu 12:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi huongea naye ana kwa ana, waziwazi na si kwa kutumia mafumbo. Yeye huliona umbo langu mimi Mwenyezi-Mungu. Kwa nini, basi, hamkuogopa kusema vibaya dhidi ya mtumishi wangu Mose?”
Shirikisha
Soma Hesabu 12Hesabu 12:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwake nitanena mdomo kwa mdomo, Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo; Na umbo la BWANA yeye ataliona. Mbona basi ninyi hamkuogopa Kumteta mtumishi wangu, huyo Musa?
Shirikisha
Soma Hesabu 12