Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 12:9 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 12:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Hapo Mwenyezi-Mungu akawaka hasira dhidi yao, akaondoka, akaenda zake.

Shirikisha
Hesabu 12 BHN

Hesabu 12:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hasira za BWANA zikawaka juu yao; naye akaenda zake.

Shirikisha
Hesabu 12 SUV

Hesabu 12:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hasira za BWANA zikawaka juu yao; kisha akaenda zake.

Shirikisha
Hesabu 12 SRUV

Hesabu 12:9 NEN (Neno)

Hasira ya BWANA ikawaka dhidi yao, akawaacha.

Shirikisha
Hesabu 12 NEN