Hesabu 13:27
Hesabu 13:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Walimwambia Mose, “Tuliifikia nchi uliyotutuma tuipeleleze; hiyo ni nchi inayotiririka maziwa na asali, na hili ni tunda lake.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamwambia wakasema, Tulifika nchi ile uliyotutuma, kwa hakika, ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali, uthibitisho, haya ndiyo matunda yake.
Shirikisha
Soma Hesabu 13