Hesabu 13:28
Hesabu 13:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wenyeji wake ni wenye nguvu sana, na miji yao ni imara na mikubwa sana. Zaidi ya hayo, huko tuliona wazawa wa Anaki.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini watu wanaokaa katika nchi ile ni wenye nguvu, na miji yao ina maboma, nayo ni makubwa sana; na pamoja na hayo tuliwaona wana wa Anaki huko.
Shirikisha
Soma Hesabu 13