Hesabu 13:29
Hesabu 13:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Waamaleki wanakaa katika eneo la Negebu; Wahiti, Wayebusi na Waamori wanakaa katika eneo la milima, na Wakanaani wanakaa karibu na bahari ya Mediteranea na karibu na kingo za mto Yordani.”
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amaleki anakaa katika nchi ya Negebu; na Mhiti, na Myebusi, na Mwamori wanakaa katika milima, na Mkanaani anakaa karibu na bahari; na kando ya ukingo wa Yordani.
Shirikisha
Soma Hesabu 13