Hesabu 13:30
Hesabu 13:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Kalebu aliwanyamazisha watu mbele ya Mose, akasema, “Twende mara moja tukaimiliki nchi hiyo. Kwa kuwa tunao uwezo sana wa kushinda.”
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kalebu akawatuliza watu mbele ya Musa, akasema, Na tupande mara moja tukaimiliki; maana twaweza kushinda bila shaka.
Shirikisha
Soma Hesabu 13