Hesabu 13:31
Hesabu 13:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini watu walioandamana naye kuipeleleza nchi wakasema, “Hatutaweza kupigana na watu hao; wao wana nguvu kuliko sisi.”
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali wale watu waliopanda pamoja naye wakasema, Hatuwezi kupanda tupigane na watu hawa; kwa maana wana nguvu kuliko sisi.
Shirikisha
Soma Hesabu 13