Hesabu 13:32
Hesabu 13:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo wakaeneza mambo ya uongo kati ya wana wa Israeli kuhusu nchi waliyoipeleleza, wakisema, “Nchi hiyo inawaua watu wake. Pia watu wote tuliowaona huko ni wakubwa sana.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala wakazi wake; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu wakubwa mno.
Shirikisha
Soma Hesabu 13Hesabu 13:32 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala watu wanaoikaa; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu warefu mno.
Shirikisha
Soma Hesabu 13