Hesabu 14:11
Hesabu 14:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Watu hawa watanidharau mpaka lini? Na, mpaka lini wataendelea kutoniamini, hata pamoja na miujiza yote niliyotenda kati yao?
Shirikisha
Soma Hesabu 14Hesabu 14:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwuliza Musa, Je! Watu hawa watanidharau hadi lini? Wasiniamini hadi lini? Nijapokuwa nimefanya ishara hizo zote kati yao.
Shirikisha
Soma Hesabu 14