Hesabu 16:29 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 16:29 BHN (Biblia Habari Njema)
Watu hawa wakifa kifo cha kawaida, au wakipatwa na maafa kama watu wengine, basi jueni kuwa Mwenyezi-Mungu hakunituma.
Shirikisha
Hesabu 16 BHNHesabu 16:29 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama watu hawa wakifa kifo cha sikuzote, kama watu wote wafavyo, au kama wakipatilizwa kwa mapatilizo ya watu wote; hapo basi BWANA hakunituma mimi.
Shirikisha
Hesabu 16 SUVHesabu 16:29 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kama watu hawa wakifa kifo cha kawaida, kama watu wote wafavyo, au kama wataadhibiwa kwa adhabu ya watu wote; hapo basi BWANA hakunituma mimi.
Shirikisha
Hesabu 16 SRUVHesabu 16:29 NEN (Neno)
Ikiwa watu hawa watakufa kifo cha kawaida na kupatwa na yale ya kawaida yanayowapata wanadamu, basi BWANA hakunituma mimi.
Shirikisha
Hesabu 16 NEN