Hesabu 20:10
Hesabu 20:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mose na Aroni wakaikusanya jumuiya yote ya watu mbele ya mwamba, naye Mose akawaambia, “Sikilizeni sasa, enyi waasi: Je, tuwatoleeni maji kutoka mwamba huu?”
Shirikisha
Soma Hesabu 20Hesabu 20:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa na Haruni wakawakusanya kusanyiko mbele ya mwamba, akawaambia, Sikieni sasa, enyi waasi; je! Tuwatokezee maji katika mwamba huu?
Shirikisha
Soma Hesabu 20