Hesabu 20:11
Hesabu 20:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mose akainua mkono wake, akaupiga ule mwamba mara mbili kwa fimbo yake. Maji yakabubujika kwa wingi, watu wakanywa pamoja na mifugo yao.
Shirikisha
Soma Hesabu 20Hesabu 20:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akainua mkono wake akaupiga ule mwamba kwa fimbo yake mara mbili; maji yakatoka mengi, mkutano wakanywa na wanyama wao pia.
Shirikisha
Soma Hesabu 20