Hesabu 21:5
Hesabu 21:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakaanza kumnungunikia Mungu na Mose, wakisema, “Kwa nini mmetutoa Misri tuje tukafie humu jangwani? Humu hamna chakula wala maji; nasi tumechoshwa na chakula hiki duni.”
Shirikisha
Soma Hesabu 21Hesabu 21:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wakamnung'unikia Mungu, na Musa, Mbona mmetupandisha huku kutoka nchi ya Misri, ili tufe jangwani? Maana hapana chakula, wala hapana maji, na roho zetu zinakinai chakula hiki dhaifu.
Shirikisha
Soma Hesabu 21