Hesabu 21:8
Hesabu 21:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Tengeneza nyoka wa shaba, umtundike juu ya mlingoti. Mtu yeyote atakayeumwa na nyoka, akimtazama nyoka huyo wa shaba, atapona.”
Shirikisha
Soma Hesabu 21Hesabu 21:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.
Shirikisha
Soma Hesabu 21