Hesabu 21:9
Hesabu 21:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mose akatengeneza nyoka wa shaba, akamtundika juu ya mlingoti. Kila mtu aliyeumwa na nyoka alipomtazama nyoka huyo wa shaba, alipona.
Shirikisha
Soma Hesabu 21Hesabu 21:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi.
Shirikisha
Soma Hesabu 21