Hesabu 22:27
Hesabu 22:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Punda alipomwona huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, akalala chini. Balaamu akawaka hasira, akampiga kwa fimbo yake.
Shirikisha
Soma Hesabu 22Hesabu 22:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake.
Shirikisha
Soma Hesabu 22