Hesabu 22:29
Hesabu 22:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Balaamu akamwambia punda, “Wewe umenidhihaki! Kama ningekuwa na upanga ningalikuulia mbali sasa hivi!”
Shirikisha
Soma Hesabu 22Hesabu 22:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Balaamu akamwambia punda; Kwa sababu umenidhihaki; laiti ningekuwa na upanga mkononi mwangu ningekuua sasa hivi.
Shirikisha
Soma Hesabu 22