Hesabu 22:31
Hesabu 22:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo, Mwenyezi-Mungu akayafungua macho ya Balaamu, naye akamwona malaika wa Mwenyezi-Mungu amesimama njiani, ameshika upanga uliochomolewa alani mwake. Balaamu akajitupa chini kifudifudi.
Shirikisha
Soma Hesabu 22Hesabu 22:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo BWANA akafunua macho ya Balaamu akamwona malaika wa BWANA amesimama njiani, akiwa na upanga mkononi mwake, umekwisha kufutwa, naye akainamisha kichwa, akaanguka kifudifudi.
Shirikisha
Soma Hesabu 22