Hesabu 22:32
Hesabu 22:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia Balaamu, “Mbona umempiga punda wako mara hizi tatu? Nimekuja kukuzuia, kwa sababu njia yako ni mbaya.
Shirikisha
Soma Hesabu 22Hesabu 22:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa BWANA akamwambia, Mbona umempiga punda wako mara tatu hizi? Tazama mimi nimekuja ili kukupinga, kwa sababu njia yako imepotoka mbele zangu
Shirikisha
Soma Hesabu 22