Hesabu 23:10 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 23:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Nani awezaye kuwahesabu wingi wa watu wa Yakobo, au kukisia umati wa Waisraeli? Nife kifo cha waadilifu, mwisho wangu na uwe kama wao.”
Shirikisha
Hesabu 23 BHNHesabu 23:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani awezaye kufanya idadi ya mavumbi ya Yakobo, Au kuhesabu robo ya Israeli? Na nife kifo chake mwenye haki, Na mwisho wangu uwe mfano wa mwisho wake.
Shirikisha
Hesabu 23 SUVHesabu 23:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ni nani awezaye kufanya idadi ya mavumbi ya Yakobo, Au kuhesabu robo ya Israeli? Na nife kifo chake mwenye haki, Na mwisho wangu uwe mfano wa mwisho wake.
Shirikisha
Hesabu 23 SRUVHesabu 23:10 NEN (Neno)
Ni nani awezaye kuhesabu mavumbi ya Yakobo, au kuhesabu robo ya Israeli? Mimi na nife kifo cha mtu mwenye haki, na mwisho wangu na uwe kama wao!”
Shirikisha
Hesabu 23 NEN