Hesabu 23:22 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 23:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Mungu aliyewachukua kutoka Misri, huwapigania kwa nguvu kama za nyati.
Shirikisha
Hesabu 23 BHNHesabu 23:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu amewaleta kutoka Misri, Naye ana nguvu kama nguvu za nyati.
Shirikisha
Hesabu 23 SUVHesabu 23:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mungu amewaleta kutoka Misri, Naye ana nguvu kama nguvu za nyati.
Shirikisha
Hesabu 23 SRUVHesabu 23:22 NEN (Neno)
Mungu aliwatoa kutoka Misri; wao wana nguvu kama za nyati.
Shirikisha
Hesabu 23 NEN