Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 27:8 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 27:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Kisha waambie Waisraeli kwamba mtu yeyote akifa bila kuacha mtoto wa kiume, urithi wake atapewa binti yake.

Shirikisha
Hesabu 27 BHN

Hesabu 27:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo utampa binti yake urithi wake.

Shirikisha
Hesabu 27 SUV

Hesabu 27:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo binti yake atapewa urithi wake.

Shirikisha
Hesabu 27 SRUV

Hesabu 27:8 NEN (Neno)

“Waambie Waisraeli, ‘Ikiwa mtu atakufa naye hakuacha mwana, utampa binti yake urithi wake.

Shirikisha
Hesabu 27 NEN