Hesabu 31:17 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 31:17 BHN (Biblia Habari Njema)
Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume.
Shirikisha
Hesabu 31 BHNHesabu 31:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.
Shirikisha
Hesabu 31 SUVHesabu 31:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye.
Shirikisha
Hesabu 31 SRUVHesabu 31:17 NEN (Neno)
Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa
Shirikisha
Hesabu 31 NEN