Hesabu 32:23
Hesabu 32:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kama hamtaki kufanya neno hilo, ninyi mmefanya dhambi mbele za BWANA, nanyi jueni ya kwamba hiyo dhambi yenu itawapata, hapana budi.
Shirikisha
Soma Hesabu 32Hesabu 32:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nawaonyeni kwamba msipotimiza ahadi yenu, mtakuwa mnamtendea Mwenyezi-Mungu dhambi; jueni kwa hakika kwamba mtaadhibiwa.
Shirikisha
Soma Hesabu 32