Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 35:28 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 35:28 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana huyo aliyeua ni lazima akae ndani ya mji wa makimbilio mpaka kuhani mkuu atakapofariki; lakini baada ya kifo cha kuhani mkuu anaweza kurudi nyumbani.

Shirikisha
Hesabu 35 BHN

Hesabu 35:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

kwa sababu ilimpasa kukaa ndani ya mji wake wa makimbilio hata kifo chake kuhani mkuu lakini kuhani mkuu atakapokwisha kufa huyo mwuaji atarudi aende nchi ya urithi wake.

Shirikisha
Hesabu 35 SUV

Hesabu 35:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)

kwa sababu ilimpasa kukaa ndani ya mji wake wa makimbilio hadi kifo chake kuhani mkuu lakini kuhani mkuu atakapokwisha kufa huyo mwuaji atarudi aende nchi ya urithi wake.

Shirikisha
Hesabu 35 SRUV

Hesabu 35:28 NEN (Neno)

Mshtakiwa lazima akae katika mji wake wa makimbilio hadi atakapokufa kuhani mkuu; atarudi tu kwenye mali yake baada ya kifo cha kuhani mkuu.

Shirikisha
Hesabu 35 NEN