Hesabu 35:34
Hesabu 35:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo msiitie unajisi nchi mwishiyo ambayo nami nakaa kati yake; kwa kuwa mimi BWANA nakaa kati ya wana wa Israeli.
Shirikisha
Soma Hesabu 35Hesabu 35:34 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Msiinajisi nchi mnayoishi, ambayo nami ninakaa, kwa kuwa Mimi, BWANA, ninakaa katikati ya Waisraeli.’ ”
Shirikisha
Soma Hesabu 35