Hesabu 6:24-26
Hesabu 6:24-26 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Mwenyezi-Mungu awabariki na kuwalinda; Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema, na kuwafadhili; Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani.’
Shirikisha
Soma Hesabu 6Hesabu 6:24-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akubariki, na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.
Shirikisha
Soma Hesabu 6