Hesabu 9:23
Hesabu 9:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose.
Shirikisha
Soma Hesabu 9Hesabu 9:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; walimtii BWANA, kwa mkono wa Musa.
Shirikisha
Soma Hesabu 9