Obadia 1:17
Obadia 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini mlimani Siyoni watakuwapo wale waliosalimika nao utakuwa mlima mtakatifu. Wazawa wa Yakobo wataimiliki tena nchi iliyokuwa yao.
Shirikisha
Soma Obadia 1Obadia 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali katika mlima Sayuni kutakuwa na watakaookoka, nao utakuwa mtakatifu; na nyumba ya Yakobo watamiliki tena milki zao.
Shirikisha
Soma Obadia 1