Obadia 1:4
Obadia 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata ukiruka juu kama tai, ukafanya makao yako kati ya nyota, mimi nitakushusha chini tu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Obadia 1Obadia 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ujapopanda juu kama tai, Ijapokuwa kiota chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema BWANA.
Shirikisha
Soma Obadia 1