Filemoni 1:6
Filemoni 1:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naomba utiwe nguvu katika kuishuhudia imani yako, ili upate kuwa na ufahamu mkamilifu juu ya kila kitu chema tulicho nacho ndani ya Kristo.
Shirikisha
Soma Filemoni 1Filemoni 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Naomba ili imani hiyo unayoshiriki pamoja nasi ikuwezeshe kuwa na ujuzi mkamilifu zaidi wa baraka zote tunazopata katika kuungana kwetu na Kristo.
Shirikisha
Soma Filemoni 1