Filemoni 1:7
Filemoni 1:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Upendo wako umenifurahisha mno na kunitia moyo, kwa sababu wewe ndugu, umeiburudisha mioyo ya watakatifu.
Shirikisha
Soma Filemoni 1Filemoni 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, upendo wako umeniletea furaha kubwa na kunipa moyo sana! Nawe umeichangamsha mioyo ya watu wa Mungu.
Shirikisha
Soma Filemoni 1