Wafilipi 3:10-11
Wafilipi 3:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili nimjue yeye, na uweza wa kufufuka kwake, na ushirika wa mateso yake, nikifananishwa na kufa kwake; ili nipate kwa njia yoyote kuufikia ufufuo wa wafu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninachotaka tu ni kumjua Kristo na kuiona nguvu ya ufufuo wake, kushiriki mateso yake na kufanana naye katika kifo chake, nikitumaini kwamba nami pia nitafufuliwa kutoka kwa wafu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3