Wafilipi 3:13 - Linganisha Matoleo Yote
Wafilipi 3:13 BHN (Biblia Habari Njema)
Ama kweli, ndugu zangu, sidhani kuwa nimekwisha pata tuzo hilo; lakini jambo moja nafanya: Nayasahau yale yaliyopita na kufanya bidii kuyazingatia yale yaliyo mbele.
Shirikisha
Wafilipi 3 BHNWafilipi 3:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele
Shirikisha
Wafilipi 3 SUVWafilipi 3:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele
Shirikisha
Wafilipi 3 SRUVWafilipi 3:13 NEN (Neno)
Ndugu zangu, sijihesabu kuwa nimekwisha kushika. Lakini ninafanya jambo moja: Ninasahau mambo yale yaliyopita, nakaza mwendo kufikia yale yaliyo mbele.
Shirikisha
Wafilipi 3 NEN