Wafilipi 4:12
Wafilipi 4:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yoyote, na katika mambo yoyote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4