Methali 10:27
Methali 10:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumcha Mwenyezi-Mungu hurefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.
Shirikisha
Soma Methali 10