Methali 10:9
Methali 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Aishiye kwa unyofu huishi salama, apotoshaye maisha yake atagunduliwa.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Aendaye kwa unyofu huenda salama; Bali apotoshaye njia zake atajulikana.
Shirikisha
Soma Methali 10