Methali 12:1
Methali 12:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Apendaye nidhamu hupenda maarifa, bali asiyependa kuonywa ni mjinga.
Shirikisha
Soma Methali 12