Methali 12:22
Methali 12:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Midomo isemayo uongo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini watu waaminifu ni furaha yake.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA; Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
Shirikisha
Soma Methali 12