Methali 16:20
Methali 16:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayezingatia mafundisho atafanikiwa; heri mtu yule anayemtumainia Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 16