Methali 16:24
Methali 16:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno mazuri ni kama asali; ni matamu rohoni na yenye kuupa mwili afya.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno yapendezayo ni kama sega la asali; Ni tamu nafsini, na afya mifupani.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maneno yapendezayo ni kama sega la asali; Ni tamu nafsini, na afya mifupani.
Shirikisha
Soma Methali 16