Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 19:10 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 19:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, tena ni vibaya zaidi mtumwa kuwatawala wakuu.

Shirikisha
Methali 19 BHN

Methali 19:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Maisha ya anasa hayampasi mpumbavu; Sembuse mtumwa awatawale wakuu.

Shirikisha
Methali 19 SUV

Methali 19:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Maisha ya anasa hayampasi mpumbavu; Sembuse mtumwa awatawale wakuu.

Shirikisha
Methali 19 SRUV

Methali 19:10 NEN (Neno)

Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu.

Shirikisha
Methali 19 NEN