Methali 19:8
Methali 19:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ajipatiaye hekima anaipenda nafsi yake; anayezingatia busara atastawi.
Shirikisha
Soma Methali 19