Methali 2:16-17
Methali 2:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Hekima itakuwezesha kumkwepa mwanamke mwasherati, mwanamke malaya wa maneno matamu; mwanamke amwachaye mwenzi wa ujana wake, na kulisahau agano la Mungu wake.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ili kuokoka na malaya, Naam, malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake; Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake.
Shirikisha
Soma Methali 2