Methali 2:21-22
Methali 2:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa.
Shirikisha
Soma Methali 2