Methali 2:7-8
Methali 2:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima safi, yeye ni ngao kwa watu waishio kwa uaminifu. Huilinda mienendo ya watu watendao haki, na kuzihifadhi njia za waaminifu wake.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu; Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu; Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.
Shirikisha
Soma Methali 2